Alliance Life Proudly Sponsors CRDB Bank Marathon 2024

Image
Je umejisajili katika jeshi la Kusambaza Tabasamu ?

Ni rahisi sana kujisajili, kwa hatua chache utakuwa umemaliza na kukamilisha usajili kwa kufanya malipo.

Karibu Uwe mmoja mwenye kubalisha maisha ya wenye uhitaji kwa kujisajili katika mbio za 5km, 10km, 21km, 42km na 65km mbio za baiskeli

Karibu ujiunge na jeshi la Kusambaza Tabasamu kwa kujisajili kupitia tovuti yao rasmi ya www.crdbbankmarathon.co.tz uweze kuwa sehemu ya wasambaza tabasamu.

#CRDBBankMarathon
#TabasamuLimevukaMipaka